Unknown Unknown Author
Title: Man City wakamilisha usajili wa kinda wa miaka 19 raia wa Brazili Gabriel Jesus
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Man City imetangaza kukamilisha usajili wa kinda wa miaka 19 raia wa Brazili Gabriel Jesus anayetoka katika timu ya Palmeiras kwa g...
Klabu ya Man City imetangaza kukamilisha usajili wa kinda wa miaka 19 raia wa Brazili Gabriel Jesus anayetoka katika timu ya Palmeiras kwa gharama ya pauni milioni 27.
Gabriel Jesus amesaini mkataba wa miaka mitano, makubaliano ya Man City na Palmeras katika uhamisho wa staa huyo ni kuwa atajiunga na Man City baada ya msimu wa Ligi Kuu Brazil utakapokamilika mwezi December.

Advertisement

Post a Comment

 
Top