Home
»
»Unlabelled
» Kala Jeremiah asimulia jinsi wimbo wake mpya ‘Wana Ndoto’ ulivyomtoa jasho (Video)
Haikuwa rahisi kwa Kala Jeremiah kuikamilisha ngoma yake mpya, Wana Ndoto. Ni kwasababu wimbo huo aliurekodi mwanzo mwaka 2013 lakini producer aliyeutayarisha alishindwa kumkadhi.Baada ya kumpiga chenga kwa muda mrefu, rapper huyo alikata tamaa hadi mwaka 2016 alipopata mtoto, Alama. Amesema mtoto wake huyo alimpa tena hamu ya kuufanya tena wimbo huo lakini tatizo ni kuwa daftari lililokuwa na mashairi hakujua lilipo.
31
Jul
2016
Alilitafuta kwa zaidi kwa wiki mbili bila mafanikio lakini alikuja kulipata wakati akitafuta kitu kingine kabisa. Hata hivyo kazi nyingine ikaja kumpata Mtoto Miriam Chirwa aliyeimba chorus ya wimbo huu kwasababu alikuwa shule nje ya Dar.
Ilimbidi amsubiri hadi afunge shule ndipo wakaingia studio kurekodi. Msikilize Kala akisimulia zaidi kwenye interview hii.
Advertisement

Recent Posts
- ‘Tonight Show’ Producer Praises Taylor Swift After Emotional Tribute to Jimmy Fallon’s Mom: ‘She Did Something Beautiful’15 Nov 20170
Taylor Swift performs 'New Year's Day' on November 13, 2017 on The Tonight Show starring Jimmy Fal...Read more »
- Kim Kardashian Responds to Nicki Minaj’s #BreakTheInternet Paper Magazine Cover15 Nov 20170
Kim Kardashian and Nicki Minaj attend the 2015 MTV Video Music Awards at Microsoft Theater on Augu...Read more »
- They’re Playing MUSICAL D**KS Again In Holllywood . . . Now The Weeknd . . . Is Dating JUSTIN BIEBER’S EX-Girlfriend!!! (Who Looks Better . . . Selena . . . Or Justin’s EX??)15 Nov 20170
They’re Playing MUSICAL D**KS Again In Holllywood . . . Now The Weeknd . . . Is Dating JUSTIN BIEBE...Read more »
- 15 Nov 20170
PICS: THICK RIHANNA Shows Off Her Voluptuous Legs . . . She Got A LOT MORE MEAT On Her . . . But It...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.