Home
»
»Unlabelled
» Mimi na Weusi bado ni familia – Nahreel
Producer wa The Industry, Nahreel ameukata mzizi wa fitina kwa kukanusha kuwa na tofauti na Weusi.Amedai kuwa kubadilisha mfumo wa kurekodi muziki kwenye studio zake hakujavunja uhusiano na wasanii hao.
31
Jul
2016
“Kusema ukweli hakuna mtu aliyekimbia, sisi bado ni washkaji, we are family, na kiukweli nimebadilisha utaratibu wa studio lakini si kwamba nilivyobadilisha ile ikaleta utata fulani, hakuna,” Nahreel ameiambia tygatattoo.
“Hii ni biashara na mimi sasa hivi nataka niisukume biashara yangu iende mbali zaidi, kwahiyo nilibadilisha utaratibu kidogo lakini hiyo sio sababu yake kusema leo Weusi wamenikimbia au Jux au nani. Wale ni washkaji hata sasa hivi tumetoka tu kuongea nao vizuri tu na kuna projects ziko pale, kuna nyimbo ya Davido na Joh Makini, kuna nyimbo Joh Makini anayo na Khuli Chana iko pale, kuna nyimbo ya G-Nako ameimba na Vanessa ipo, Jux ana nyimbo zake kwahiyo zitatoka soon,” amesisitiza.
Nahreel amedai kuwa hivi karibuni amekuwa busy na tour na mambo mengi ya kundi la Navy Kenzo na hivyo kupishana ratiba na wasanii hao lakini amesisitiza kuwa hakuna tofauti yoyote iliyopo.
Advertisement

Recent Posts
- ‘Tonight Show’ Producer Praises Taylor Swift After Emotional Tribute to Jimmy Fallon’s Mom: ‘She Did Something Beautiful’15 Nov 20170
Taylor Swift performs 'New Year's Day' on November 13, 2017 on The Tonight Show starring Jimmy Fal...Read more »
- Kim Kardashian Responds to Nicki Minaj’s #BreakTheInternet Paper Magazine Cover15 Nov 20170
Kim Kardashian and Nicki Minaj attend the 2015 MTV Video Music Awards at Microsoft Theater on Augu...Read more »
- They’re Playing MUSICAL D**KS Again In Holllywood . . . Now The Weeknd . . . Is Dating JUSTIN BIEBER’S EX-Girlfriend!!! (Who Looks Better . . . Selena . . . Or Justin’s EX??)15 Nov 20170
They’re Playing MUSICAL D**KS Again In Holllywood . . . Now The Weeknd . . . Is Dating JUSTIN BIEBE...Read more »
- 15 Nov 20170
PICS: THICK RIHANNA Shows Off Her Voluptuous Legs . . . She Got A LOT MORE MEAT On Her . . . But It...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.