Unknown Unknown Author
Title: AliKiba aanza kushoot video ya ‘Aje remix’ akiwa na M.I
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkali wa wimbo ‘Aje’ AliKiba baada ya kufanya vizuri na original version ya wimbo huo, ameweka kambi nchini Afrika Kusini kuandaa remix ya...
Mkali wa wimbo ‘Aje’ AliKiba baada ya kufanya vizuri na original version ya wimbo huo, ameweka kambi nchini Afrika Kusini kuandaa remix ya wimbo huo akiwa amemshirikisha msanii wa Nigeria, M.I.Awali kolabo hiyo ya ‘Aje’ akiwa na M.I ilivuja katika mitandao ya kijamii wakati haijamalizika hali ambayo ilimfanya kuachia original version yake.
Kwa mujibu wa video ya AliKiba iliyozagaa katika mitandao ya kijamii, inamuonyesha muimbaji huyo akiwa location Africa Kusini huku akizungumza project hiyo.
“Tunashoot video, ‘Aje remix’ video nikuwa na M.I,” alisema AliKiba.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo Afrika Kusini, amedaiwa kushoot video mbili mpaka sasa, moja ya kolabo yake na Barakah The Prince na nyingine ya kolabo yake na M.I.

Jiunge na tygatattoo.blogspot.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka tygatattoo!

Advertisement

Post a Comment

 
Top