Home
»
»Unlabelled
» Video: Goli la kwanza la Samatta kwenye msimu mpya wa ligi ya Ubelgiji
Nyota ya nahodha wa timu ya Taifa Stars, Mbwana Samatta imezidi kung’aa ndani ya Belgium Pro League.
01
Aug
2016
Mchezaji huyo alifanikiwa kuifungia timu yake ya RC Genk bao la pili kwenye ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KV Oostende akitokea benchi dakika 10 kabla ya mechi kumalizika.
Nikolaos Karelis alianza kuifungia Genk goli la kuongoza dakika ya 50, kwenye dakika ya kwanza ya nyongeza za refa, Mbwana Samatta aliipatia Genk bao la pili lakini dakika mbili baadaye mchezaji raia wa Zimbabwe, Knowledge Musona aliifungia KV Oostende bao la kufutia machozi.
Tazama video ya goli la Samatta hapa chini.
Advertisement

Recent Posts
- ‘Tonight Show’ Producer Praises Taylor Swift After Emotional Tribute to Jimmy Fallon’s Mom: ‘She Did Something Beautiful’15 Nov 20170
Taylor Swift performs 'New Year's Day' on November 13, 2017 on The Tonight Show starring Jimmy Fal...Read more »
- Kim Kardashian Responds to Nicki Minaj’s #BreakTheInternet Paper Magazine Cover15 Nov 20170
Kim Kardashian and Nicki Minaj attend the 2015 MTV Video Music Awards at Microsoft Theater on Augu...Read more »
- They’re Playing MUSICAL D**KS Again In Holllywood . . . Now The Weeknd . . . Is Dating JUSTIN BIEBER’S EX-Girlfriend!!! (Who Looks Better . . . Selena . . . Or Justin’s EX??)15 Nov 20170
They’re Playing MUSICAL D**KS Again In Holllywood . . . Now The Weeknd . . . Is Dating JUSTIN BIEBE...Read more »
- 15 Nov 20170
PICS: THICK RIHANNA Shows Off Her Voluptuous Legs . . . She Got A LOT MORE MEAT On Her . . . But It...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.