Rapper Rick Ross na bosi wa Maybach Music Group, amemsaini rapper asiyekuwa na makazi aliyekutana naye barabarani na kuanza kuchana mbele yake ili kupata nafasi ya kuwa kwenye lebo yake.Isa Muhammad ni rapper asiyekuwa na makazi ya kuishi na kwao ni California ambaye amekuwa na bahati ya mtende kwa kulifurahisha sikio la Rozay na kuwa msanii mpya wa MMG.
Picha: Rick Ross amsaini omba omba Maybach Music Group
Rapper Rick Ross na bosi wa Maybach Music Group, amemsaini rapper asiyekuwa na makazi aliyekutana naye barabarani na kuanza kuchana mbele yake ili kupata nafasi ya kuwa kwenye lebo yake.Isa Muhammad ni rapper asiyekuwa na makazi ya kuishi na kwao ni California ambaye amekuwa na bahati ya mtende kwa kulifurahisha sikio la Rozay na kuwa msanii mpya wa MMG.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.