Unknown Unknown Author
Title: Diamond athibitisha kuja na collabo na Swizz Beatz
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Collabo kati ya Diamond Platnumz na producer na rapper mkongwe wa Marekani, Swizz Beatz inakuja Staa huyo amethibitisha kuwa alizungumza n...
Collabo kati ya Diamond Platnumz na producer na rapper mkongwe wa Marekani, Swizz Beatz inakujaStaa huyo amethibitisha kuwa alizungumza na Beatz kuhusu kufanya wimbo wao walipokutana New York kwenye tamasha la One Africa Music.“Tulikuwa tunazungumza kuhusu project ambayo tunatakiwa tuifanye, tuifanye Tanzania au tuifanye wapi, tulikuwa tunaangalia kwa benefit zote pia,”“Mimi nilichosuggest nilimuambia ni vizuri tukifanya lakini tuwe na producer wa Afrika kumix vitu vya Kiafrika na tunaweza tukaifanyia huku tukatoka nayo tukaenda kuifanyia Tanzania pia sababu itaongeza impact kwa Afrika na kuonesha wamarekani kweli wanania ya kusaidia muziki wa Afrika,” aliongeza.
Tayari Diamond amesharekodi collabo nyingine na msanii wa Marekani, Ne-Yo.

Jiunge na tygatattoo.blogspot.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka tygatattoo!

Advertisement

Post a Comment

 
Top