Home
»
»Unlabelled
» Shetta asema ushindani uliopo kwenye muziki umemfanya aogope kutoa ngoma mbaya
Hit maker wa wimbo ‘Namjua’ Shetta amefunguka kwa kusema kuwa yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao hawajawai kutoa ngoma mbaya katika maisha yake ya muziki.
02
Aug
2016
Akiongea na tygatattoo Jumapili hii, Shetta amesema biashara ya muziki imefanya afanye muziki wa kushindana kila siku ndio maana kila akitoa ngoma anahakikisha ni kali.
“Shetta sasa hivi ni mfanyabiashara, muziki wangu ni bidhaa adimu ndio maana mimi sijawai kutoa ngoma alafu isifanye vizuri, ni hit baada ya hit na ndo maisha yangu kwa sasa, na nitaendelea kufanya hivyo,” alisema Shetta.
Rapper huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kubiria surprise ya wimbo wake mpya baada ya ‘Namjua’ kufanya viruri.
Advertisement

Recent Posts
- ‘Tonight Show’ Producer Praises Taylor Swift After Emotional Tribute to Jimmy Fallon’s Mom: ‘She Did Something Beautiful’15 Nov 20170
Taylor Swift performs 'New Year's Day' on November 13, 2017 on The Tonight Show starring Jimmy Fal...Read more »
- Kim Kardashian Responds to Nicki Minaj’s #BreakTheInternet Paper Magazine Cover15 Nov 20170
Kim Kardashian and Nicki Minaj attend the 2015 MTV Video Music Awards at Microsoft Theater on Augu...Read more »
- They’re Playing MUSICAL D**KS Again In Holllywood . . . Now The Weeknd . . . Is Dating JUSTIN BIEBER’S EX-Girlfriend!!! (Who Looks Better . . . Selena . . . Or Justin’s EX??)15 Nov 20170
They’re Playing MUSICAL D**KS Again In Holllywood . . . Now The Weeknd . . . Is Dating JUSTIN BIEBE...Read more »
- 15 Nov 20170
PICS: THICK RIHANNA Shows Off Her Voluptuous Legs . . . She Got A LOT MORE MEAT On Her . . . But It...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.