Msanii mkongwe wa filamu Jacob Stephan ‘JB’ amefunguka kwa kusema kuwa ataachia filamu yake moja ya mwisho na baada ya hapo atawaachia vijana fani hiyo. Muigizaji huyo ambaye yupo mbioni kuachia filam…
Exclusive Video: Zamaradi azungumzia sakata la show yake ya Take One kupewa adhabu na TCRA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Zamaradi Mketema alijikuta kwenye kitimoto wiki kadhaa zilizopita baada ya kipindi chake cha Take One cha Clouds TV, kumhoji shoga na kupelekea malalamiko makubwa kiasi cha kuifanya mamlaka ya mawasil…
Trump maji ya shingo, ajipa moyo kampeni yake ina kiki bado
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mgombea wa urais kupitia chama cha Republican, Donald Trump amesisitiza kuwa kampeni yake imeshikamana licha ya ripoti kuwa kuna mpasuko mkubwa ndani ya chama chake kutokana na uropokaji mkubwa aliou…
Rita Ora: Nitawashukuru Jay Z na Beyonce daima
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Muimbaji wa Uingereza, Rita Ora aliyekuwa amesainishwa na label ya Jay Z, Roc Nation amesema bado rapper huyo na mkewe Beyonce ni watu muhimu kwake. Alizungumza hayo kwenye mahojiano na jarida la Sept…
Man City wakamilisha usajili wa kinda wa miaka 19 raia wa Brazili Gabriel Jesus
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Klabu ya Man City imetangaza kukamilisha usajili wa kinda wa miaka 19 raia wa Brazili Gabriel Jesus anayetoka katika timu ya Palmeiras kwa gharama ya pauni milioni 27. Gabriel Jesus amesaini mkataba w…
Picha: Huyu ndiye mfanyabishara aliyeuteka moyo wa Shamsa Ford
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mfanyabiashara wa nguo ‘Chidi Mapenzi’ yupo mbioni kufunga ndoa na mwigizaji Shamsa Ford baada ya hivi karibuni kumtolea barua mrembo huyo. Chidi Mapenzi Muigizaji huyo alikaririwa na gazeti la Mtanza…
Rais wa Nicaragua amchagua mkewe kama mgombea mwenza
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais wa Nicaragua Daniel Ortega amemtaja mkewe kama mgombea mwenza na makamu wa rais wakati huu ambapo anawania kuchaguliwa kwa muhula mwengine. Mkewe Rosario Murillo tayari ana wadhfa maarufu wa msem…
Iggy Azalea: Sina uhusiano na French Montana
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wiki iliyopita rapper Iggy Azalea na French Montana walionekana pamoja huko jijini Las Vegas, walikohudhuria show ya Jennifer Lopez, Caesar’s Palace na kisha kula bata pamoja hadi asubuhi. Wakati amba…
Diamond aitolea ufafanuzi picha ya Hamisa aliyopiga kwenye chumba alicholala na Zari
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya ukaribu wa hivi karibuni wa mwanamitindo Hamisa Mobetto na familia ya Diamond kumekuwepo na sintofahamu kubwa. Hivi karibuni kulionekana picha ambayo Hamisa amepiga kwenye chumba kile kile am…
Babu Tale afikishwa Mahakamani, atakiwa kujieleza ni kwanini asifungwe
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Meneja wa mwanamuziki wa Diamond Platnumz na Tip Top Connection, Hamis Tale Tale ‘Babu Tale’ Jumanne hii alishikwa na polisi na kufikishwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Babu Tale alitakiwa kuel…
Trump amuita Hillary Clinton ni ‘shetani’
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mgombea wa chama cha Republican nchini marekani Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama cha Democratic Hillary Clinton kuwa ‘shetani’. Akizungumza kwenye mkutano huko Pennsylvania bwana Trump al…
Picha: Mastaa wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii Tanzania kuula
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa muda mrefu sasa wasanii wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii nchini wamekuwa wakiingiza fedha kutoka kwa watu na makampuni yanayotaka kutangaza biashara kwenye akaunti zao lakini hakuk…
Kilichomkumba Sitti Mtemvu chamkuta Miss World Kenya, apokonywa taji lake
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya mrembo wa Tanzania Sitti Mtemvu mwaka jana kupokonywa taji lake la Miss Tanzania na kwenda kwa Lilian Kamazima kutokana kashfa ya umri, huko nchini Kenya aliyekuwa Miss World Kenya 2016 , Ro…
Shetta adai msanii kufanya muziki bila kuwa na management ni ‘uswahili’
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa muziki Shetta amefunguka na kueleza faida alizozipata baada ya kutangaza management yake mpya ambayo imemsaidia kufanya mambo ambalimbali ambayo hapo awali alikuwa akiyafanya mwenyewe. Akion…
Ni kweli nimetolewa mahari – Shamsa Ford
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa filamu Shamsa Ford amemuweka wazi mpenzi wake aliyekuwa akimficha kwa muda mrefu usiku wa siku yake ya kuzaliwa huku akimtupia Mama yake mzazi shukurani za kutosha. Akiongea na Enewz ya Eas…
Barakah Da Prince na Naj waivunja internet kwa video ya kikubwa
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Barakah Da Prince na Naj wanaendelea kupanda ngazi ya kuwa miongoni mwa couple kwenye burudani zinazo tengeneza vichwa vya habari zaidi. Na kwa Barakah, huenda ameifahamu vyema ramani ya kutoboa kweny…
Picha za utupu za kisagaji za mke wa Donald Trump zasambaa
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Gazeti la New Daily News limechapisha picha za utupu za mke wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump, Melania. Limeandika kuwa miaka mitatu kabla ya kukutana na mume wak…
P-Funk aeleza sababu ya kutokuwa na mpango wa kuwarudisha wakongwe waliopotea
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Producer mkongwe wa Bongo Flava, P-Funk Majani, amesema hana mpango wa kuanza kuwarudisha wasanii wakongwe aliofanya nao kazi miaka ya nyuma kwasababu anaamini ni lazima asonge mbele kusaidia vipaji …
Shetta asema ushindani uliopo kwenye muziki umemfanya aogope kutoa ngoma mbaya
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hit maker wa wimbo ‘Namjua’ Shetta amefunguka kwa kusema kuwa yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao hawajawai kutoa ngoma mbaya katika maisha yake ya muziki. Akiongea na tygatattoo Jumapili hii, Shetta …
Diva atupeleka ndani ya ulimwengu wa kazi yake ya utangazaji
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ukitaja watangazaji wa redio wenye mashabiki wengi na wanaosikilizwa zaidi kwenye redio za Tanzania hutoacha kumtaja Diva The Bawse. Akiwa na mtaji wa zaidi ya followers milioni moja kwenye Instagra…
No trouble in paradise: Zari azipuuzia tetesi zinazozidi kuvuma kuhusu kusalitiwa na Diamond
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Trouble in paradise? Kwa tetesi zinazozidi kuvuma kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uhusiano wa couple yenye nguvu zaidi Afrika Mashariki, Diamond na Zari, jibu linaweza kuwa ndiyo! Lakini huenda t…
Video: Goli la kwanza la Samatta kwenye msimu mpya wa ligi ya Ubelgiji
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Nyota ya nahodha wa timu ya Taifa Stars, Mbwana Samatta imezidi kung’aa ndani ya Belgium Pro League. Mchezaji huyo alifanikiwa kuifungia timu yake ya RC Genk bao la pili kwenye ushindi wa mabao 2-1 dh…
Justin Bieber aikataa ofa ya $5m kutumbuiza kwenye show ya chama cha Republican
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Justin Bieber amemfanyia kitu mbaya Donald Trump. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, staa huyo alikataa kuchukua dola milioni 5 alizopewa ili atumbuize kwenye show ya chama cha Republican wakati wa mkutano…